eBook App (PHP & MYSQL)
Akili ni kila kitu. Unavyofikiri ndivyo unavyokuwa.
Buddha
October 11, 2022, 12:26 am, By mwasutech

Je unahitaji kumiliki website ya eBook App, ambayo inakuwa na members wengi kupitia kujisign na members wanaweza kuupload vitabu kwa kuweka picha za vitabu na links za kudownload vitabu hivyo. Hii eBook App kwa mmiliki yaani admin ataweza kutengenezea pesa kupitia matangazo ya GoogleAds au kampuni yoyote ya matangazo au kupitia kuuza vitabu vyako mwenyewe. Admin au mmiliki anaweza kufuta au kukagua vitabu ambavyo vinakuwa na links za uongo. Admin au mmiliki anaweza pia kuruhusu vitabu vyenye links sahihi au kutoruhusu vitabu vinavyokuwa na links zisizosahihi, eBook App kwa members pia wanaweza kupata faida kwa kuuza vitabu vyao. Tengeneza pesa mtandaoni, kupitia file la eBook App (PHP & MYSQL).
eBook App (Admin au Mmiliki)
Username: admin
Password: admin
Website: Demo
eBook App (PHP & MYSQL)
Msaada zaidi wa jinsi ya kuhost website na kupata domain, bonyeza hapa
Nunua eBook App kupitia Payhip au
*150*60#
0684997789
Shiraji Sultani Mwarabu
Tsh 11,713
Baada ya malipo, nitakutumia password kisha bonyeza hapa ili kudownload file
*150*01#
0713534564
Shiraj Sultani Mwarabu
Tsh 11,713
Baada ya malipo, nitakutumia password kisha bonyeza hapa ili kudownload file
Jipatie

Current Time
Learn Code
- HTML
- PHP
- JAVASCRIPT
- CSS

Full PHP Code
PHP files:
style.css
script.js
index.html
MWASUTECH GROUP: JOIN NOW KUJIFUNZA ZAIDI

Comments
Leave a comment